Uchambuzi wa Ushairi wa Kiswahili
Published:
2. Soma ushairi kisha ujibu maswali yatakayofuata:
Julize ni kwa nini, uanzapo kuongea
Sana sana makundini, watu hukutondokea
Ndugu ujitathmini, hakika umepotea
Sisi twakuombea, mwenye damu ya kunguni!
Mwenye damu ya kunguni, nayo lugha ya ajuza
Wengi hawamtamani, maneno yake yaliza
Yeye ana walakini, dosari kuliko pweza
Kama wewe umefunza, sote hutuona duni!
Sote hutuona duni, na hilo tumezowea
Kazi zetu zote guni, yeye tu amebobea
Umewachokoza mbuni, mateke anapokea
Sisi twakuombea, upae hadi hewani!
Upae hadi hewani, ujione kama bingwa
Mewashinda gazetini, wandishi kwako wapingwa
Yeye kwetu mpinzani, metia mipaka tingwa
Twakuombea mtafiti, hesabu hadi mizani!
Hesabu hadi mizani, utunge kwa kukosoa
U hodari hesabuni, nasi tushakuzoea
We nduli kwa majirani, na waja mekutegemea
Kurekebisha hujui, ywatanika peupeni!
Ywatanika peupeni, ywajisifu mjuaji
Amezidi zetu mboni, na amevijunjia mji
Twamwachia waamuzi, kesi wasome majaji
Sisi twakuombea, sirekebike kidogo!
Maswali
a) Eleza ujumbe unaojitokeza katika shairi hili (alama 6)
b) Tambua muundo wa shairi hili (alama 4)
c) Tambua bahari ya shairi hili kwa kuzingatia mpangilio wa maneno. (alama 2)
d) Andika ubeti wa tatu kwa lugha nathari (alama 4)
e) Tambua aina tatu za takriri zinazojitokeza (alama 3)
Animated Video Solution
The first half plays free, the full solution is in the app.
Step by Step Written Solution
Hi Florence, let's look at this Kiswahili poetry analysis together. We will answer the questions based on the poem provided.
Uchambuzi wa Ushairi
First, let's look at part A, which asks for the message or theme of the poem. The poem addresses someone who is proud or boastful, and who isolates themselves through their words and actions. It warns that such behavior leads to being shunned by others.
a) Ujumbe
Shairi hili linatoa onyo dhidi ya tabia ya majivuno, kiburi, na dharau kwa wengine. Muhusika anahimizwa kujitathmini kwa sababu maneno yake yanawakimbiza watu na kumwacha pweke.
Now for part B, we evaluate the structure or 'muundo' of the poem. We can see that each stanza, or 'ubeti', has four lines, which makes it a 'tarbia'. Also, notice how the last line of one stanza becomes the first line of the next stanza. This is a specific structure called 'pindu'.
b) Muundo wa Shairi
1. Shairi lina beti sita.
2. Kila ubeti una mishororo minne (Tarbia).
3. Shairi ni la aina ya pindu, ambapo mshororo wa mwisho wa ubeti unatanguliza ubeti unaofuata.
Moving to part C, we identify the 'bahari' or poetic categories based on word arrangement. Since the poem uses that 'pindu' style where lines repeat between stanzas, it is categorized as 'Bahari ya Pindu'.
c) Bahari ya Shairi
Bahari ya Pindu: Hii ni kwa sababu mshororo wa mwisho wa ubeti uliotangulia unakaririwa kama mshororo wa kwanza wa ubeti unaofuata.
The rest of this solution is on Solvi
3 more steps are locked. Watch the full animated, narrated solution for free.
Snap a photo, solve any question like this.
Watch the Rest for FreeFree to download · First solutions are on us