Uchambuzi wa Fasihi ya Kiswahili

LiteratureSwahili Literature AnalysisMedium

Published:

19) "Fahamu kwamba nahodha kamwe haogopi mawimbi."

a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (al. 4)

b) Tambua mbinu ya uandishi katika dondoo hili. (al. 4)

c) Kwa kurejelea riwaya nzima, thibitisha kuwa wahusika mbalimbali hawakuogopa mawimbi. (al. 12)

20) a. Dhidirisha kuwa Mrima ni mpenda anasa na ulevi. (al. 10)

b. Eleza jinsi Mrima amejenga maudhui ya usaliti. (al. 10)

21) Eleza jinsi Mrima amedhihirisha dhana zifuatazo; (al. 10)

i. Mapuuza

(ii) Ufisadi

22) "...nilidhani una hekima kumbe huna hata chembe."

. Weka dondoo hili katika muktadha wake. (al. 4)

. Tambua toni katika dondoo hili. (al. 2)

. Tambua maudhui katika dondoo hili. (al. 2)

. Fafanua maudhui uliyotambua kwa kurejelea hadithi nzima. (al. 12)

23) "Ajabu ni kwamba moto huo uliwaka lakini hakukuwa na dalili za moshi"

a. Fafanua muktadha wa dondoo hili. (al. 4)

b. Tambua mbinu katika dondoo hili. (al. 4)

c. Tambua maudhui katika dondoo hili. (al. 2)

d. Kwa kurejelea riwaya nzima, Fafanua maudhui uliyotambua. (al. 10)

24) "Chukua mzigo wako wa dhambi"

(a) Fafanua muktadha wa dondoo hili (Al. 4)

(b) Tambua madhara ya 'mzigo wa dhambi' unaorejelewa kwa kurejelea riwaya nzima. (Al. 12)

(c) Tambua mbinu ya uandishi katika dondoo hili (Al. 2)

(d) Tambua maudhui katika dondoo hili. (Al. 2)

Animated Video Solution

The first half plays free, the full solution is in the app.

Step by Step Written Solution

1
Step 1

Hi Gerald, let's solve the last question together, which is based on a literary excerpt from the novel. The quote is, take your burden of sin.

Swali la 24: Uchambuzi wa Dondoo

Dondoo: "Chukua mzigo wako wa dhambi."

2
Step 2

First, for part A, we need to explain the context of this quote. Specifically, who is speaking, to whom, where, and why.

(a) Muktadha wa Dondoo (Alama 4)


3
Step 3

In this context, these are the words of Lonah, spoken to her friend Becky while they are at the hospital. Lonah is advising Becky to repent for her past choices and lifestyle.

4
Step 4

Now for part B, we need to identify the negative consequences or effects of the 'burden of sin' referred to in the excerpt, based on the whole novel.

(b) Madhara ya 'Mzigo wa Dhambi' (Alama 12)


5
Step 5

The burden of sin results in several tragedies. First, it leads to health breakdown, such as Becky contracting HIV/AIDS. Secondly, it causes the breakdown of families, like the separation of Mrima and Lonah.

6
Step 6

Furthermore, it leads to social isolation and psychological trauma for the characters involved, and economic ruin for those who spent their wealth on reckless living.

The rest of this solution is on Solvi

5 more steps are locked. Watch the full animated, narrated solution for free.

Snap a photo, solve any question like this.

Download on the App Store Get it on Google Play

Free to download · First solutions are on us

100K+Questions solved daily
50K+Students learning
4.8 ★App Store rating

About This Question

Subject
Literature
Topic
Swahili Literature Analysis
Difficulty
Medium
Question Type
Open Ended

Solve any question in seconds

Snap a photo and AI explains it step by step with voice and animation.

Download on the App Store Get it on Google Play
Solvi
The full solution is in the appFree to download · First solutions are on us
Get